Kuanza Kuota meno ya juu siyo ushetani kwa mtoto

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Uotaji wa meno hutofautiana kati ya mtoto wa kiume na wa kike. Mtoto wa kike anawahi kuota meno kuliko yule wa kiume. Kwa wastani watoto wengi huanza kuota meno wanapokuwa na umri wa miezi sita. Kwa kawaida meno mawili ya chini huanza (meno ya mbele). Kisha hufuatia meno ya juu. Baada ya hapo meno mengine huendelea kuota mara nyingi huota mawili mawili (moja moja kila upande).
 
Ndiyo umeandika sasa hueleweki unataka kusema nini. Headline na kilichomo ndani ni tangawizi na pilipili.

Yaani unataka kutuminisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…