Mwezi ujao mradi unaanza,juzi kati walikaa kikao Cha maandalizi ya kuwakabidhi wakandarasi kazi.ChoiceVariable njoo utupe majibu hapa nakumbuka kipindi kile ulipost hii habari na ukasifia Sana lkn Hadi tunaingia mwezi August hakuna kitu
Acha tusubiri tuoneMwezi ujao mradi unaanza,juzi kati walikaa kikao Cha maandalizi ya kuwakabidhi wakandarasi kazi.
Kwa kweli hata mimi nilikuwa najiuliza nini kinaendelea maana nilisikia mwezi wa nne mradi unaanza. Za chini chini inabidi serikali ilipe fidia kwa watakaobomolewa kupisha huu mradi, hapo ndio pana mtihani na mfadhili hatoi kitu hadi watu walipwe bila zengwe.Wakuu hivi huu mradi kuna mwenye taarifa ya utekelezaji wake??
Mwanzoni mwa mwaka huu tuliambiwa serikali imesaini mkopo wa mabilioni kwa ajili ya kujenga miundombinu katika jiji la dar es salaam ambapo utekelezaji wake ungeanza mwezi june 2024 lakini hadi sasa tunaenda August bila dalili ya kuonekana greda barabarani. Naomba kuuliza je ni lini huo mradi utaanza rasmi utekelezaji wake???
Maandalizi ya upigaji?Mwezi ujao mradi unaanza,juzi kati walikaa kikao Cha maandalizi ya kuwakabidhi wakandarasi kazi.
Ambayo naijua Mimi ni Ile ya kutoka mbagala Rangi 3 ,chamazi,msongola Hadi chanikaBarabara gani zitakuwa covered na huu mradi?
Ambayo naijua Mimi ni Ile ya kutoka mbagala Rangi 3 ,chamazi,msongola Hadi chanika
Utaenda sambamba na kampeni za uchaguzi mkuu.Wakuu hivi huu mradi kuna mwenye taarifa ya utekelezaji wake?
Mwanzoni mwa mwaka huu tuliambiwa Serikali imesaini mkopo wa mabilioni kwa ajili ya kujenga miundombinu katika jiji la Dar es Salaam ambapo utekelezaji wake ungeanza mwezi june 2024 lakini hadi sasa tunaenda August bila dalili ya kuonekana greda barabarani.
Naomba kuuliza je ni lini huo mradi utaanza rasmi utekelezaji wake?
Hapo ndipo kwenye ugomvi wa kugombea Kati ya wabunge,madiwani na wakuu wa wilaya maana kila mmoja anatafuta Kiki kwenye eneo lake aonekane ndiye amefanya..sawa huko ni ilala na temeke ,miradi ya wilaya nyingine? Naona phase 1 walicover Kijichi na Kijitonyama/Tandalle
Vp mkuu, miradi hii imeanza?Mwezi ujao mradi unaanza,juzi kati walikaa kikao Cha maandalizi ya kuwakabidhi wakandarasi kazi.
Ndio boss imeanzaVp mkuu, miradi hii imeanza?