Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Haya ni mawazo yako , naweza kukuambia kuwa haya unayoyasema baadhi tao yapo sasa hivi , ubabe , kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na mengine , free mason kuongelewa na wapuuzi bila sababu za msingi , so hakuna jipya
Vichwa kama hv vilipotezwa mbaya.....
 
Shikamooo mkuuu, popote pale ulipo. Au jamaa alichujua hili desa
 
Is that man still alive? We miss you. Come out of your hideout
 

Maono yamekamilika au bado unabisha Leo 2019
 
Hongera mkuu Magamba Matatu
 
Aiseee? Hili bango mengi yaliyozungumzwa ndiyo yanayotutesa leo
 
Genius...
 
Huyu mtu ni tunu na lulu kwa taifaaa... Sijui yupo hai au laa.... Amejaliwaa kipaji cha intelligence predictions.... Mawazo yake ndio yanayofanyiwa kazi mpaka sasa
 
Sema hawa ma GT hapa jamii forum waliishia mwaka 2015 baada ya hapo wamebaki wachache mno
 
Huyu mtu ni tunu na lulu kwa taifaaa... Sijui yupo hai au laa.... Amejaliwaa kipaji cha intelligence predictions.... Mawazo yake ndio yanayofanyiwa kazi mpaka sasa
Kama yupo atutabirie udikteta utakoma lini
 
Watabiri wapo sasa sijui connection na yanayotokea.Mwaka 2015 Nabii Bushiri alitabiri kuhusu tz,kwamba mshindi atakuwa huyo chaguo la lubuva ikawa,Tz itapigwa tetemeko likatokea BK watu wakatukanwa wao ndo wameleta tetemeko,akasema anga la Tz limejaa damu kila MTU ni shahidi damu zisizohatia zimepotea kuanzia Mkiru,Kigoma,Ben,Azori,nk kupitia utekaji wasiojulikana,pia akatabiri uchumi wa Tz utashuka kila mwaka kila mwaka hali inazidi kuwa ngumu jibu mnalo kila MTU ni shahidi ukitoa wateule kina bashit,slow,mulaga,le nk hakuna kundi lisilolimia meno yaani kuisoma namba haswaa!!! matajiri wamefanyiziwa utadhani sio raia hadi wengine wamelala mbele kuhamishia nje mitaji yao wanyonge waliochekelea matajiri kushushwa ni sawa na kuni mbichi kuichekelea kuni inayooungua wamenyongwa hatari yaani wako hoi majalala wamejikuta kumbe bila mafisadi kusaza wameshindwa kwenda chooni.Tumuombe mtabiri mwingine atutabirie yajayo hii namba ni lini mwisho wake kuisoma na haya yote yataisha lini?
 
Yataisha 2025, atakuja rais ambaye atatikana na CCM yenyewe, atalazimishwa na chama kutengeneza katiba mpya, na huu ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya na mwanzo wa mwisho wa CCM
 
Yataisha 2025, atakuja rais ambaye atatikana na CCM yenyewe, atalazimishwa na chama kutengeneza katiba mpya, na huu ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya na mwanzo wa mwisho wa CCM
Katiba si tatizo ,bali MTU ndo tatizo mbona wamepita wengine kwa katiba hii hii.Hata hio mpya akipatikana asiyesahihi anaweza kutoifuata
 

Bushiri tule mmalawi tapeli anayehubiri South Africa au mwingine ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…