Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

50% yamesha timia !!

Sent using kidore
 
bandiko la kinabii hili dah...
 
Yalipangwa na nani?
Yes, haya yalipagwa miaka mitatu kabla ya uchaguzi,.. Magufuli hakuchukua nchi kibahati mbaya, alitayarishwa, alipangiwa nini afanye, na analindwa..

Yanayotokea Tanzania chini ya Magufuli ni mipango iliyopangwa kwa muda mrefu..
 
Kongole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda habari yako! yaliyotabiliwa umeyaona au upo uswis wewe
 
Huu utabiri ulienda sawa hasa kwenye unyanyasaji wa vyama vya upinzani kufanyiwa mizengwe na sasa spika hafuati katiba sheria za Nchi anatumia katiba yake binafsi kuendesha Bunge kama lipo nyumbani kwake
 
Bunge limekuwa chombo binafsi cha spika anaamua nani awepo bungeni nani asiwepo anadharau maamuzi ya vyama vingine kwa kuyaita vikao vya majungu, wabunge wa CUF aliwavua ubunge kwa kosa sawa na la wabunge wa chadema lakini kwa kuwa Bunge ni mali yake binafsi ametumia sheria zake binafsi kinyume cha katiba na sheria za kuwabambikia waendelee kuingia Bungeni na kuwalipa posho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…