Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Haya ni mawazo yako , naweza kukuambia kuwa haya unayoyasema baadhi tao yapo sasa hivi , ubabe , kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na mengine , free mason kuongelewa na wapuuzi bila sababu za msingi , so hakuna jipya
Umemkubalua sasa hv?
 
Hebu tuambie, hili la corona unalionaje? Litaishaje?

Mojawapo ya threads bora kabisa za JF.Hongera sana, japo ni kwa kuchelewa.
 
Haya ni mawazo yako , naweza kukuambia kuwa haya unayoyasema baadhi tao yapo sasa hivi , ubabe , kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na mengine , free mason kuongelewa na wapuuzi bila sababu za msingi , so hakuna jipya

Salamaleko
 
Ni kweli kuwa watanzania wanategemea sura moja wapo kati ya hizo lakini hakuna sura ya udikteta hapo wote hao ni watu wa democracia kwa wingi.

Ila tukitaka tuendelee nakubaliana na wewe kuwa udikteta wafaa.ila uwe ule wakuleta maendeleo
Salamu kutoka chato
 
I'm sceptical,huu sio utabiri,it was a plan set long ago,na mwandishi ni mtu wa karibu na JPM,na anamjua vizur,
It all starts na list ya Hao watu aliyowataja,inaeezekanaje kiongozi wa upinzani ambaye sio CCM aingie ikulu na awe dictator,it's very rare kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…