Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Huyu ni mtu wa ndani wa ccm! Nadhani walimuweka jiwe makusudi kabisa kwasababu walihisi upinzani utachukua nchi kama akiingia rais mwingine tofauti na jiwe.
 
Nimesoma Uzi mwanzo mpaka mwisho kila mstari baada ya mstari .nimekosa la kusema yote yameshasemwa na wachangiaji waliotangulia.nazidi kuamini nyuma ya maisha yetu kuna mipango mingi inaendelea.

Mwisho nimebaki na swali kwanini mleta mada alileta Uzi jukwaani kisha akatokomea kusikojulikana?
 

Mkuu nimesoma hii ishu nikajua imeandikwa 2020 kumbe ni miaka mitano back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…