Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Huyu jamaa aliyeleta uzi huu ni kiboko ya watabiri wote waliowahi kutokea! Kama hajafyekwa na Corona, tunaomba atutabirie na uchaguzi wa mwaka huu
 
Je ni lini walimu wataobgezewa mishahara?
 
Mleta uzi ndiyo hao hao! Huo siyo utabiri, bali ni uhalisia waliokuwa wakiufahamu endapo jiwe ataingia madarakani.
 


Mkuu huyu mtu mbona yupo humu?

Mimi nadhani tumite aje atupe tathimini yake ya tuliko na tuendako.
MAGAMBA MATATU Upo wapi ndugu karibu tena huku.

JF-Expert Member · 35
Joined Jul 3, 2011
Last seen May 8, 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…