Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kwa hiyo hii katiba mpya tunayoipigania unataka kuniambia kuwa tunaitunga iruhusu haya uliyoyaandika yatokee au kichwa kimefeli hata kuwaza japo kidogo
 
Mkuu uliona mbali sana!
 
Huyu mtu yuko wapi kwa sasa?
 
Ni kweli kuwa watanzania wanategemea sura moja wapo kati ya hizo lakini hakuna sura ya udikteta hapo wote hao ni watu wa democracia kwa wingi.

Ila tukitaka tuendelee nakubaliana na wewe kuwa udikteta wafaa.ila uwe ule wakuleta maendeleo
Karibu Tena
 
Uk
Uko vizuri kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…