Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Miaka hiyo ya 2012 ma-great thinkers wslikuwa wanashusha nyuzi zenye upembuzi yakinifu.
 
Mlijulishwa hapa mkakaza fuvu kwa Sasa nchi hii hata CCM wenyewe hawana kauli wanapokea tu Maelekezo, nchi haiongozwi na CCM tena yaani VIKAO VYA CCM ni formality tu wapige kura wasipige maamuzi hayatoki CCM

Siku hizi hali ya Kisiasa ndani ya CCM haijadiliwi na VIKAO vya CCM tena bali vyombo vya Dola
Aliyeleta hili wazo la nchi kutawaliwa kidikiteta aliwakosea sana Watanzania

USHAURI wangu , Piganieni sana Mabadiliko kiufupi Tanzania sio ile mnayoidhania , Tanzania haiendeshwi na Wanasiasa tena, just imagine kwenye kile kinachoitwa uchaguzi mkuu mwaka Jana , ndani ya CCM Makatibu na wasimamizi wa uchaguzi upande wa CCM walikuwa wanalipwa posho na TISS na sio CCM

Poleni sana huko Tanzania, nishazeeka zangu acha nile MAFAO
 
January naona last seen yako ni June,19-2025 vipi hizi sarakasi zinazoendelea muda huu?
January naona last seen yako ni 19th,June-2025, unasemaje kuhusu songombingo zinazoendelea kwa sasa. Wahuni wameamua kuiburuza nchi openly kwani wanajua hakuna mwenye guts za kupaza sauti.
 
Kwa hiyo alimtabiri na Deo Ndejembi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…