mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
mitale na midimu!!!!pamoja na kupendeza kwote vazi la suti au koti la suti nimekuwa silioni kama ni muhimu kwa wakati wote hadi siku nitakapoona hivyo. angalau mkulima mimi pia nianze kutoka kivingine ninapoanza kuhudhuria na kutoa mada katika vikao,mikutano na warsha mbalimbali ndani na nje ya taifa hili pendwa. Hii ni baada ya kuongeza public speaking katika career zangu.
kuanzia nextweek naongeza viwalo hivi katika maviko yangu baada.
msaada au ushauri au mswaada jinsi ya kupendeza ndani ya haya maviko nisijejikuta navaa michanganyiko kama kachumbari nikawa kituko.
maduka, vyazo vizuri kwa dsm ninapoweza kupata hivi vitu.
ukitupia picha utabarikiwa zaidi
uko vizuri saana,mitale na midimu!!!!
suti ni vazi zuri sana ambalo huongeza unadhifu au maridadi wa mtu.
suti pia ni vazi linalomfanya mvaaji kuwa na nidhamu mbele za watu kwani mara nyingi huvaliwa pamoja na tai na hata mwendo wa mvaaji hubadilika...
Japo vazi la suti ni zuri kuna mazingira inakuwaga vigumu kulivaa hasa sehemu za joto km Dar na mwambao wote wa pwani.
pia kuvaa suti na kupanda daladala huwa haipendezi kivile japo si lazima kuwa na private car pia.
suti nzuri zinazopatikana ki urahisi tz ni kutoka Uturuki japo simaani zinaongoza kwa ubora.
uturuki wako juu sana ukilinganisha na suti toka nchi za asia japo na bei iko juu kuanzia 300,000 hadi 500,000/= za wabongo wa kawaida..unaponunua zingatia umbile lako na rangi inayoendana na tukio.
hako ni kaufaham kangu kadooogo acha wajuzi waje
wauzaji wengi wako kariako mkuu lakini uweakini usiuziwe feki, kitambaa cha turkey kina mvuto wa aina yake na pia ukishika ni tofauti sana na vitambaa vingine, binafsi napenda sana, hapa dar ilikuwa ngumu, but ck hizi nakuwa arusha..aah nafurahia sana suti modo...penda sana hio kitu na hupendeza sana warefu kiasi japo watu wooote hupendezeauko vizuri saana,
maangalizo hayo huwa nayajua theoretically tu nitaanza kuyafanyia kazi muda sio mrefu.
pia simaanishi kwa dsm ntakuwa navaa kila siku ni kwa matukio muhimu na pendwa.
location napata wapi hao wauzaji wa suti za turkey,
Mkuu jambilo salama,wauzaji wengi wako kariako mkuu lakini uweakini usiuziwe feki, kitambaa cha turkey kina mvuto wa aina yake na pia ukishika ni tofauti sana na vitambaa vingine, binafsi napenda sana, hapa dar ilikuwa ngumu, but ck hizi nakuwa arusha..aah nafurahia sana suti modo...penda sana hio kitu na hupendeza sana warefu kiasi japo watu wooote hupendezea
Hata matajiri akina Bharesa Mengi, Dewji na Manji hawavai suti za bei hiyo.mitale na midimu!!!!
suti ni vazi zuri sana ambalo huongeza unadhifu au maridadi wa mtu.
suti pia ni vazi linalomfanya mvaaji kuwa na nidhamu mbele za watu kwani mara nyingi huvaliwa pamoja na tai na hata mwendo wa mvaaji hubadilika...
Japo vazi la suti ni zuri kuna mazingira inakuwaga vigumu kulivaa hasa sehemu za joto km Dar na mwambao wote wa pwani.
pia kuvaa suti na kupanda daladala huwa haipendezi kivile japo si lazima kuwa na private car pia.
suti nzuri zinazopatikana ki urahisi tz ni kutoka Uturuki japo simaani zinaongoza kwa ubora.
uturuki wako juu sana ukilinganisha na suti toka nchi za asia japo na bei iko juu kuanzia 300,000 hadi 500,000/= za wabongo wa kawaida..unaponunua zingatia umbile lako na rangi inayoendana na tukio.
hako ni kaufaham kangu kadooogo acha wajuzi waje
mkuu kama uko arusha nenda pale studio ya a to z, ukitokea traffic light za stand kubwa au tunaita choo cha kulipia elekea kama waenda mnara wa mwenge, kabla hujafika saba general kuna studio ya A to Z, pembeni yake kuna duka la suits kali sana za Turkey. au njoo pm nikuelekeze zaidi mkuuMkuu jambilo salama,
Mimi nataka nikatafute hili vazi sijawahi kulivaa na nimealikwa sehemu kwenye harusi.
Nimeona rangi nyeusi ndio nzuri ila bado sijajua nivae tai gani na ya rangi gani? Niko Arusha naomba nisaidie bei zake na ni duka lipi hapa Arusha wanaUza
Suti bei nzuri.
Ahsante!
sio kweli mkuu...suits nyingi wanazovaa wakubwa ni za ufaransa bei kali sana na faida yake haipauki ukilinganisha na dubai, china na taiwani, then za uturuki.Hata matajiri akina Bharesa Mengi, Dewji na Manji hawavai suti za bei hiyo.
Mzee ni majirani zako au. Maana hadi kujua wanavaaje na bei inaonekana uko nao karibu sana.Hata matajiri akina Bharesa Mengi, Dewji na Manji hawavai suti za bei hiyo.
Mkuu suits za France zinauzwa bei INA range shingapsio kweli mkuu...suits nyingi wanazovaa wakubwa ni za ufaransa bei kali sana na faida yake haipauki ukilinganisha na dubai, china na taiwani, then za uturuki.
kinunua nguo ni mahesabu mkuu.
kwamba ununue ya bei ndogo ipauke baada tu ya kufuliwa (dry cleaner) mara moja then ukanunue nyingine tena! au ununue suit bora ya mda mrefu.
hata hivyo sina maslahi ktk hili kwani mimi sio muuzaji, najaribu ku share ninachokifaham kias kidogo
Suit nzuri ya ufaransa ni 650,000 vinhinevyo unaibiwaMkuu suits za France zinauzwa bei INA range shingap
Mkuu isidingo yetu kule kwetu naona inanoga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu suits za France zinauzwa bei INA range shingap
Duuuh.... Suit tuu???? Subiri nkioaDuties nzuri ya ufaransa ni 650,000 vinhinevyo unaibiwa
Mkuu isidingo yetu kule kwetu naona inanoga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chukua ya turkey kwa 300k hutajutaDuuuh.... Suit tuu???? Subiri nkioa
650,000 [emoji4] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Unaona mbaliMzee ni majirani zako au. Maana hadi kujua wanavaaje na bei inaonekana uko nao karibu sana.
Inaonekana mkuu umezoea mikanda ya crocodile. Hapa tunazungumzia Quality na durability sio kila siku unanunua nguo kama mwanamitindo. Hapo Ni kupoteza muda Wa uzalishaji kwenye maduka kila siku.
Kitu bora, cha kudumu, vizuri na presentable ghalama ndio inafuata.
Nahitaji suti ya nipishe nijambe mkuu. Kitambo sana hizi ndude sizioni kulikoni au imepitwa? babu yangu alikua anazivaa sanasio kweli mkuu...suits nyingi wanazovaa wakubwa ni za ufaransa bei kali sana na faida yake haipauki ukilinganisha na dubai, china na taiwani, then za uturuki.