Kuanzia kesho Jumatatu nitakuwa natoa salamu kwa wahusika wafuatao kuelekea Derby ya tarehe 8 Machi 2025, ama hakika Ubaya Ubwela

Kuanzia kesho Jumatatu nitakuwa natoa salamu kwa wahusika wafuatao kuelekea Derby ya tarehe 8 Machi 2025, ama hakika Ubaya Ubwela

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kuelekea mchezo wa Derby tarehe 8, kuanzia kesho nitakuwa naachia salamu mbalimbali kwa wahusika wafuatao:

Tarehe 3 nitatoa salamu kwa uongozi wa Simba

Tarehe 4 nitatoa salamu kwa benchi la ufundi na ushauri wa namna kikosi kinachopaswa kucheza kulingana na unajimu wang

Tarehe 5 nitatoa salamu kwa wachezaji wa Simba SC

Tarehe 6 nitatoa salamu kwa mashabiki na wanachama katika matawi

Tarehe 7 nitatoa salamu kwa waamuzi waliopangwa katika mchezo huo wa do or die
Ubaya Ubwela labda wanizunguke
 
Back
Top Bottom