kila la heri, mimi leo nimechana natulia mpaka wikiendiPombe niliacha mkuu,na hili Mungu anisaidie
Blaza kubet kama kilimo tu we endelea kupalilia shamba lako mavuno yanakuja soon kka as tutavuna mpunga kuanzia weekend hii mpka may uko 2024 kka usiacheNimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.
Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.
Naomba mniombee wadau
ACHA uoga wewe, kesho Epl inaanzaNimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.
Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.
Naomba mniombee wadau
Kweli kabisaukweli ni kwamba huu mchezo una uraibu wa uongo na kufeki pia, mtu hajala mwezi nzima anaanza kujifunz uongo kwamba amepiga piga ili kuficha aibu.
kuna ofisi niliwahi kufungua niliweza kushika simu za hawa watu wengi kiukweli history inaonyesha wanapigwa sana ila usoni wanakuambia wanakula.
kifupi huu mchezo wengi wnachokula huwa hakizidi nusu ya walichoweka tangu waanze kubeti.
wanaopiga wapo ila wachache sana mithiri ya wasanii walioacha shule ili kutoboa kwa njia ya muziki, ukimuona Diamond usihitimishe maana wapo wengi zaidi hali hazieleweki
Azzam kakuchania mkeka?Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.
Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.
Naomba mniombee wadau
Mungu akusimamie mkuu kila kinawezekana.Pombe niliacha mkuu,na hili Mungu anisaidie
Ungemalizia ku bet ka mwisho kwenye ngao ya jamii.Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.
Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.
Naomba mniombee wadau