Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyani NgabuNilipoona stress ni NN nikajiuliza kulikoni tena...nimefanya nini mimi?[emoji3]
Hahaha[emoji23] unam forwadia afu unamwambia ww uko serious umemuachUnapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia
"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????"
Unashtuka ??…. Una muuliza kulikoni? ????
Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako?"
Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino??????
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia
"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! [emoji135] "
Unashtuka [emoji15] .... Una muuliza kulikoni? [emoji120]
Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako[emoji5]"
Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
ha ha ha ha noumaKatika maswala ya hivyo huwa siamini kukosea...huwa natafsiri nimebipiwa kwo ni kujiandaa kupiga