Naukana Utanzania rasmi kuanzia leo.
Siutaki hata kidogo najionea nuksi tu.
Nitakuwa mtanzania mpaka kiumbe fulani kitoke madarakani.
Hebu anza kumkana mamaako na babaako waliokuzaa hapa Tanzania halafu ndio uukane uraia. Kwanza una kitambulisho cha uraia?Naukana Utanzania rasmi kuanzia leo.
Siutaki hata kidogo najionea nuksi tu.
Nitakuwa mtanzania mpaka kiumbe fulani kitoke madarakani.
Naomba tubadirishane uwe MKENYA na mimi niwe MTANZANIA.Hata mimi huku Kenya nimechoka na haya makabila mawili ya wajaluo na wakikuyu kutuletea shida kila sikuNaukana Utanzania rasmi kuanzia leo.
Siutaki hata kidogo najionea nuksi tu.
Nitakuwa mtanzania mpaka kiumbe fulani kitoke madarakani.
Aya nenda migration uanze kutulipa viza na mambo ya kazi n.kNaukana Utanzania rasmi kuanzia leo.
Siutaki hata kidogo najionea nuksi tu.
Nitakuwa mtanzania mpaka kiumbe fulani kitoke madarakani.