Huyu jamaa ingekua bila yeye exclusive interview nyingi za sports pale crown zingekua hovyo sana jamaa hanaga ile ukimjibu anakaa kimya.
Juma ayo najiuliza tena alifikaje Crown?
Sikutukan na wala sikufundishi kazi ila kuna mda uwe unajiangalia Juma kila baada ya kipindi ulichokifanya.
Leo hadi nimesikitika sana kuona unavyohangaika hangaika hujui hata nini uulize na kingine ukiona hujui namna ya kuuliza acha sio lazima wewe tu uulize.
Ila jemedar vamos mamen...umekaba sana leo ile Magori nahisi hana hamu ya kupomea simu