Kwahyo ukahama afu ukawa unafatilia na kusikilizia..... Basi huna tofauti na wachawiKuna Ndoa moja ilikua Rehani baada ya mm kuhamia Ile nyumba.
Mbaya ziaidi walikua na mtoto mdogo wa miezi 4.
Ikanibidi nihame tu, Japo mwishowe bado ilivunjika tu.
Wanajua kupenda HAO afu anakuganda chochote anachomnyima mumewe anakupa wewe pia Siri zote za mume wake anakupaHivi utamu wa mke wa mtu upo wapi?
Mimi nikishajua ni mke wa mtu tu, nyege hupunguaWanajua kupenda HAO afu anakuganda chochote anachomnyima mumewe anakupa wewe pia Siri zote za mume wake anakupa
Hiyo ndio unatakiwa ili kupunguza mateso kwa wasio kua na hatiaMimi nikishajua ni mke wa mtu tu, nyege hupungua
Hata wewe unaejisifu mke wako atagawa tuu. Haya mambo hayana ufundi.Chanzo hua ni waume zao kutowashughulikia ipasavyo mpaka wanatung'ang'ania sie wa nje
Naomba namba zao hata kama na wangu yumo miungoni mwao.Nimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
Ushafunuliwa butiNimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
😂😂 Kwa hiyo unataka niendelee kuwalombea wake zenuPole sana kwa maswahibu yalokukuta ndugu, ukafundishe wenzio mtaani namna ya kuheshimu wake za watu ....
Hopefully hujaumia sana
Unataka niendelee kuwalombeaUshafunuliwa buti