Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama wewe ni Mtanganyika ni wajibu wako kuikomboa inchi yako, hata kama chawa, haya unayoyaona utakuja kuyalipia baada ya Tanganyika kukombolewa, maana saa hizi tunatawalia na familia ya Samia Suluhu na baadhi ya Viongozi walioko Serikalini wakiongozwa na Kikwete.
Hebu jiulize Mkapa na Magufuli wangekuwepo hii familia ya Rais ingeyafanya haya?
Kwahiyo kama wale tuliokuwa tunawategemea hawapo basi ni wajibu wangu wa mimi na wewe kuikomboa Tanganyika.
K#&ma kweli wewe,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama wewe ni Mtanganyika ni wajibu wako kuikomboa inchi yako, hata kama chawa, haya unayoyaona utakuja kuyalipia baada ya Tanganyika kukombolewa, maana saa hizi tunatawalia na familia ya Samia Suluhu na baadhi ya Viongozi walioko Serikalini wakiongozwa na Kikwete.
Hebu jiulize Mkapa na Magufuli wangekuwepo hii familia ya Rais ingeyafanya haya?
Kwahiyo kama wale tuliokuwa tunawategemea hawapo basi ni wajibu wangu wa mimi na wewe kuikomboa Tanganyika.
Mkuu kwa nini umepaniki na kuporomosha matusi hivi non stop? Ungemjibu vizuri tu ungepungukiwa na nini? 😳K#&ma kweli wewe,
Uikomboe Tanganyika kwani nani kaiteka ms&nge we acha ubaguzi km&lmko..
Acha roho ya kichawi na wivu wakiume wewe unakua na wivu ka Saida k$ma we.
Makamu m Tanganyika,waziri mkuu mtanganyika,spika na watendaji wote watanganyika sa unamkomboa nan k wewe..
Si mnasema nchi inaongozea na kikwete Sasa mnataka kuikomboa Tena wa$nge nyie ..
watu wa bara sijui wamekuaje awamu hii,Mkuu kwa nini umepaniki na kuporomosha matusi hivi non stop? Ungemjibu vizuri tu ungepungukiwa na nini? 😳
Kukujibu mtu kama wewe ni kujipunguzia hekima zangu,ila Dunia ndiyo itakayokujibuK#&ma kweli wewe,
Uikomboe Tanganyika kwani nani kaiteka ms&nge we acha ubaguzi km&lmko..
Acha roho ya kichawi na wivu wakiume wewe unakua na wivu ka Saida k$ma we.
Makamu m Tanganyika,waziri mkuu mtanganyika,spika na watendaji wote watanganyika sa unamkomboa nan k wewe..
Si mnasema nchi inaongozea na kikwete Sasa mnataka kuikomboa Tena wa$nge nyie ..
Amelewa damu za watu waliowauwa bila hatiaMkuu kwa nini umepaniki na kuporomosha matusi hivi non stop? Ungemjibu vizuri tu ungepungukiwa na nini? 😳
Tunataka tuwafurushe Abdul na Mama yake,bila kumsahau Hamza johari aliyeuza rasilimari zetu ,mnajimu wa jeshi,mtuachie Tanganyika yetu hao wengine viongozi wa Tanzania tutadili nao baada ya kupata uhuruwatu wa bara sijui wamekuaje awamu hii,
wanaonesha ubaguzi wa kiwango Cha ajabu sana hakuna anaeitaka ccm hata znz watu wameichoka ila sio kusema unaikomboa tanganyika,
Nchi ipi unaikomboa kisa yupo mzanzibari huitaki ccm au humtaki mzanzibari wote sisi si watanzania huu utanganyika na kuukomboa means Tanganyika ni koloni la Zanzibar tangia lini,
Mbona ni huyo mtu mmoja tu apo juu wote waliobaki ni wabara ni upuuzi wa kiwango kikubwa mnoo,
Znz yupo Hussein lakini ukiangalia chimbuko lake na baba yake ni watu wa mkuranga uko bara na hujawai kuskia hayo maneno,
baadhi ya watu wa bara kama huyu mtoa mada ni wapuuzi na wa$nge mnoo na chuki za kipumbavu sana,
Ni watu wenye roho mbaya za kishetani sana