Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

kwanza bar unaenda kumuwekea heshima nani? Si unaenda kumchangia mwenye bar au?

Kuna watu wapuuzi kweli dunia hii, who cares umenunua vinywaji vya shi ngp kama ukimaliza kulewa unaanza kuita boda? Mbaf na nusu kabisa hawa watu
Baada ya kupata Pesa Mmekuwa Wakali na wenye Jeuri sana 🤣🤣🤣😅😅😅🤣
 
Mie nakumbuka kazi yangu ya kwanza nilikua nalipwa trh 36, hawa trh 24 tu kelele hivi?
Umenikumbusha yule Mheshimiwa aliyekaribishwa kwenye sherehe za kiislam (mashindano ya kusoma quran) sasa badala aongee anayoyajua eti akajidai kujiongeza "Mola awajalie kwa juhudi zenu za kuhifadhi na kusoma quran, kwa wale walio hifadhi juzuu 5 wajitahidi wahifadhi 10, wa 20 wafike 30 na wale wenye 30 wajitahidi wahifadhi mpaka 40 na kuendelea"

Watu wakabaki midomo wazi
 

Makazini hasa private sector tumezoea kusema tarh hadi 32 hadi 37 sometimes hadi 41 kama mshahara hujaingia, hio inamaanisha trh 2 au 7 au 11 mwezi unaofuata. Kwetu sisi mwezi unaisha kwa kulipwa mshahara, bila hvo trh zinaendelea kuhesabiwa kama kawa
 
Naomba huu uzi ufutwe, una upotoshaji mkubwa watumishi tumepata mshahara na mambo ni bull bull sasa wacha tukuze uchumi wa nchi ni muda wa kula kitimoto choma na bia.
 
Naomba huu uzi ufutwe, una upotoshaji mkubwa watumishi tumepata mshahara na mambo ni bull bull sasa wacha tukuze uchumi wa nchi ni muda wa kula kitimoto choma na bia.
Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Kumbuka kuna July pia
 
TUCTA ni mkia wa mbuzi! Shwaini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…