Kuanzia Sasa 3 Asubuhi ya Leo kila mwana Simba SC usikae mbali na 'JamiiForums' kwani nakuja na 'Exclusives' Kubwa Saba za HATARI sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ya Kwanza......

Inawahusu CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said.

Ya Pili.......

Inawahusu Mwekezaji Mo Dewji na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez.

Ya Tatu......

Inahusu sababu ya hivi Majuzi Uongozi wa Simba SC kusitisha kutoa Taarifa ambayo ilitakiwa Kuwafikia wana Simba SC wote.

Ya Nne.......

Itahusu Usaliti mkubwa alioufanya Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ili Kuwafaidisha Yanga SC na Ahadi ya Ubunge aliyopewa na Mstaafu Mmoja mwenye Uyanga mwingi na Ushawishi mkubwa katika Serikali hii ya sasa ( ya Mama )

Ya Tano......

Itahusu Nia ya Tajiri Mkubwa ( ambaye Mo Dewji ) hata akusanye Fedha zake zote bado hamfikii Mzee ( Tajiri ) Bakhressa na Simba SC.

Ya Sita......

Itamhusu Haji Manara na Usahihi wake wa 100% juu ya Shutuma zake dhidi ya CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez na kwanini alipandwa na Hasira na kuamua Kuelekea Yanga SC.

Ya Saba......

Itahusu kwanini Yanga SC kupitia Haji Manara, Injia Hersi Said na Tarimba Abbas wanajigamba ( wanajimwambafai ) kuwa Yanga SC itabeba Ubingwa mara Tano au mara Nane Mfululuzo ( mpaka mwaka 2030 ) ambako Rais Samia Suluhu Hassan atamaliza Urais wake.

GENTAMYCINE sibahatishi na nimepata Taarifa zote kamili juu ya haya Mambo Saba ( 7 ) niliyoyaainisha hapa juu hivyo leo nataka niisimamishe JamiiForums ( hasa Wanamichezo ) na Taifa pia lisimame kwa Ufafanuzi kamili wa niliyoyasema hapo.

Tukutane kuanzia Saa 3 baadae.
 
Hapa hapa au wapi mkuu
 
mtani ukija usisahau kubeba na video za hayo mafaili hasa Mada No 7 inatuhusu zingine hata bila video poa tu ili kushibisha hizo nondo utakazoleta wengine kama mimi mwanayanga ni tomaso!

ukikosa video poa tu hata ukileta "porojo" tutachambua na ku-edit!
 
Tunasubiri mchele umwage..
 
Angalia Simba wasikuroge kabla ya huo muda, maana wanapenda sana ulozi.
 
hahahahahaha
Huyu mtumiaji, ni wa ovyo sanaa kuna uji ali post akijifanya ana wa underrate JWTZ akijifanya anatoa onyo eti watapihika endapo wakienda DRC tena kukabiliana na M23, mara akaja na uzi kiwasifia Tiss ndan ya jeshi kwa uteuzi wa cdf, mara leo kaibukia na soka , πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaa ana puyanga puyanga
 
Catalyst ya kufanya hayo yote ni kukosa makombe..!! Tunasubiri
 
Wewe si ndio uliyeaema Coastal Union itachukua ndoo ya shirikisho baada ya kamati yenu ya umafia kumaliza kazi? Vipi walifanikiwa?
 
Sometimes anakuwa kama popo vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…