Kuanzia sasa ukitumia ' Condom ' umejitakia mwenyewe kwa ‘ Ubwege ‘ wako, ila ni rasmi Kinga ya VVU/UKIMWI imepatikana nchini Israeli

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wanasayansi kutokana nchini Israeli ambako ‘ Majiniasi ‘ wengi wanapatikana huko hatimaye sasa wamepata ‘ Kinga ‘ rasmi ya Kuzuia maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa 99.9% baada ya kuifanyia majaribio yake nchini Uganda na Afrika Kusini na kuonyesha mafanikio makubwa sana.

Dawa yenyewe inaitwa ‘ Gammora ‘ ambayo inatengenezwa na Kampuni iitwayo Zion Medical kutoka nchini Israeli. Baada ya kuonyesha mafanikio hayo makubwa sasa wanapanga ‘ Kuisambaza ‘ nchi nyingine nyingi ili ziweze kuwasaidia Watu na waweze kuwa na Uhuru wa kufanya Mapenzi bila kutumia ‘ Condoms ‘ ambazo zinaondoa Uhondo na Utamu wote.

Tusichoshane sana kwa habari Kamili nendeni Daily Monitor.com mpate taarifa kamili.

VVU/ UKIMWI bye bye na asanteni na Shikamooni Wayahudi. Ngoja niende sasa Dukani nikanunue Kiberiti nije nichome Moto kabisa hizi Boksi zangu zote za ' Condoms ' japo nilikuwa sizitumii kabisa kwani tayari ' Wayahudi ' wameshafanya yao na kuanzia sasa ole wake nimsikie Mwanamke nikitaka Kulala nae ananiambia nivae kwakweli ' patachimbika ' mno.

Nawasilisha.
 
Pole sana kwa kudhani kwamba wayahudi hao wanasema kweli.. hujiulizi kwa nini walifanyia majaribio nchi za Afrika.
Pole pia kwa kudhani kwamba watu hutumia kondom kujikinga na VVU tu.
 
Hebu weka sources acha kubwabwaja

Labda uniambie unataka sasa niweke ' matako / makalio ' yako kama ' Source ' ila nadhani katika ' thread content ' yangu hadi ' Chanzo ' cha taarifa yangu hii nimeweka.
 
Watu hatukujua kondom kabla ya hiyo dawa kwa sasa sijui itakuwaje.
 
Wew una na amini dawa inayoitawa Gommorah - maana yake ni sodoma na gomorah - ngoja mkuu wa mkoa akusikie unatanganza haya mambo
 
Pole sana kwa kudhani kwamba wayahudi hao wanasema kweli.. hujiulizi kwa nini walifanyia majaribio nchi za Afrika.
Pole pia kwa kudhani kwamba watu hutumia kondom kujikinga na VVU tu.

' Swine ' kabisa nimesema kuwa ' Condoms ' kutokana ya kwamba hata Matangazo mengi tunayoambiwa huwa wanasisitiza sana kuwa tuzitumie katika Kujikinga dhidi ya Kuambukizana VVU / UKIMWI na sioni tatizo langu hapo ni nini ila labda tu kama umeamua kutuonyesha ' mapungufu ' yako makubwa ya akili / upeo. au unadhani kuwa sijui kwamba hizo hizo ' Condoms ' pia zinasaidia Mimba zisizotarajiwa au maambukizi pia ya Magonjwa mbalimbali ya Zinaa? Kuna Watu kumbe nikiwa nawadharau na kuwapuuza huwa sikosei na pia simkosei hata na Mwenyezi Mungu kwani kiuhakika mnastahili.
 
Wew una na amini dawa inayoitawa Gommorah - maana yake ni sodoma na gomorah - ngoja mkuu wa mkoa akusikie unatanganza haya mambo

Naomba unionyeshe ni wapi nimeandika kuwa hiyo Kinga yenyewe inaitwa Gommorah? Yaani kuna Watu hapa ni ' Wapumbavu ' hadi nashangaa hata huko Mashuleni na Vyuoni walienda kufanya nini. Nimekuwekea hadi na Chanzo cha Taarifa husika ambayo ni Mtandao wa Gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda hivyo nilitegemea kwa Mtu makini sasa angeenda tu huko ili ajielimishe zaidi lakini bado Mtu anakuja Kupotosha hapa na anataka kila kitu atafuniwe.
 
Wee jamaa unapenda sana kujikweza na unapenda special treatment unayoipata kwa mkeo uipate na hum jamiiforums kwa member wote.
 
We endelea tu kutumia condoms umesahau kuna hepatitis B???
 
tunywe kwanza iyo kinga ndo tuache condoms

hayaa madanga hukuu mtaani pekupeku sio poa
 
Hakuna jambo linakera kama kundia uzi bila kuupia wote, watu wengi umu niwazembe/wavivu wa kusoma ndo maana udandia trein kwa mbele.
Mtoa uzi kaweka hadi chanzo sijui nikitugani kinawazuia kuingia na kujiridhisha. Lakini pia nakubaliana na Wayaudi maana UKIMWI ulitokea Uganda nao majaribio yao wamefania ukouko Uganda maana msumari unapoingilia ndipo utokea.
Kila jambo lina mwisho Ila najua bei yake itakuwa ya kuuza shamba.
 
Kudandia uzi bila kuupitia.
 
Dawa itengenezwe israel afu et waje waitest uganda mbona hadi kwao kuna waathirika?

hawa jamaa hata wakitengeneza sumu lazima wanakujaga huku kujaribishia
 
Condom imeletwa kuzuia mimba tu, ni moja ya njia ya kupunguza kuzaliana.... Ila wacha watu watengeneze pesa kupitia matatizo ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…