Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
843
Reaction score
1,630
I wonder how you stay that long ukiwa uko na capital alafu hujui biashara ya kufanya?
Wakati I always meet people ambao wapo na very sensitive business idea but they don't know how they'll fund it!
Kweli hupewi vyote!!!![emoji851]
 
Ni rahis kupata aidia ya biashara kama upo kwenye biashara lakin kama ndo unaanza kuingia kwenye biashara kwa mara ya kwanza ni mtihani sana
Hii ni kweli kabisa ukiwa tayari upo kwenye biashara fulani huwa si ngumu kabisa kupata idea nyingine ya biashara, kimbembe uwe nje ya game aiseh hata calculation za uthubutu hazikujii.
 
Tatizo kubwa wasomi wengi biashara zinawashinda kuanzisha sababu ya speculations nyingi sana. Mtu anakaa anaanza kucalculate risks mpka anakosa confidence ya kuanza biashara.
 
Back
Top Bottom