Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Hii ni kweli kabisa ukiwa tayari upo kwenye biashara fulani huwa si ngumu kabisa kupata idea nyingine ya biashara, kimbembe uwe nje ya game aiseh hata calculation za uthubutu hazikujii.Ni rahis kupata aidia ya biashara kama upo kwenye biashara lakin kama ndo unaanza kuingia kwenye biashara kwa mara ya kwanza ni mtihani sana