said reuben Member Joined Dec 22, 2018 Posts 62 Reaction score 28 Apr 24, 2019 #1 Habar za jion ndugu zangu nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya kuleta na organise wageni kuja kutembea na kufanya utalii ndani ya nchi (tour company) nilikua naomba muongozo wa kutengeneza foundation ya hili jambo
Habar za jion ndugu zangu nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya kuleta na organise wageni kuja kutembea na kufanya utalii ndani ya nchi (tour company) nilikua naomba muongozo wa kutengeneza foundation ya hili jambo
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Apr 24, 2019 #2 Ni pesa tu. Hakuna kingine