dayones emmanuel
Member
- Jan 2, 2017
- 73
- 23
Hivi kama mtu Ana mtaji Wa shilingi lakini moja kwa sasa anaweza fanya biashara ipi itayo mpatia kipato kwa mda mfupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucheza bikoHivi kama mtu Ana mtaji Wa shilingi lakini moja kwa sasa anaweza fanya biashara ipi itayo mpatia kipato kwa mda mfupi
Uwe adabu, hili sio jukwaa la watoto wenzioKucheza biko
Mkuu, unaishi wapi? wewe ni mtu wa aina gani? umeajiriwa, mwanafunzi au hauna shughuli yoyote ile?Hivi kama mtu Ana mtaji Wa shilingi lakini moja kwa sasa anaweza fanya biashara ipi itayo mpatia kipato kwa mda mfupi
Kaka ndiyo tabia za watanzani. alafu wanaishia kusema vyuma vimekaza!Uwe adabu, hili sio jukwaa la watoto wenzio
nenda kule kwa wenzio Jukwaa la mapenziKucheza biko
Una muda wa kusimamia biashara yako?Naomba na mm unitag ili options zinapotolewa na mm nipate ufahamu.
Ila mm ni mwajiriwa na ninaishi Manyara
TenaKucheza biko
AsanteUwe adabu, hili sio jukwaa la watoto wenzio
Naishi DSM mwanafuzi Wa business mwalimu nyerere ngazi ya diplomaMkuu, unaishi wapi? wewe ni mtu wa aina gani? umeajiriwa, mwanafunzi au hauna shughuli yoyote ile?
Asante but mie Wa kikeKaka ndiyo tabia za watanzani. alafu wanaishia kusema vyuma vimekaza!
Nashukuru pia nahitaji mnisaidienenda kule kwa wenzio Jukwaa la mapenzi
OkNaomba na mm unitag ili options zinapotolewa na mm nipate ufahamu.
Ila mm ni mwajiriwa na ninaishi Manyara
Ulikuwa uambiwi wewe dada... Wewe umeleta hoja una shilingi kadhaa ufanye biashara gani kwa pesa hiyo... Kuna watu hapo kati kati ndo wame leta majibu ya ajabu ndo watu wakawa wana wajibu hivyoNashukuru pia nahitaji mnisaidie
Kwakuwa ni mwanafunzi, itapendeza zaidi ukifanya biashara ambayo wateja wako watakuwa hao hao wanafunzi. Mi natoa idea zifuatazo kulingana na mtaji wako watakao kuja watatoa mawazo bora zaidi:Naishi DSM mwanafuzi Wa business mwalimu nyerere ngazi ya diploma
JF inamchanganya bado hajajua kuitumia lakin atajua tuUlikuwa uambiwi wewe dada... Wewe umeleta hoja una shilingi kadhaa ufanye biashara gani kwa pesa hiyo... Kuna watu hapo kati kati ndo wame leta majibu ya ajabu ndo watu wakawa wana wajibu hivyo
Zingatia ushauri ulio pewa hapo juuNashukuru pia nahitaji mnisaidie
Kaka na Mimi Nina laki tano nifanye biashara gani.Kwakuwa ni mwanafunzi, itapendeza zaidi ukifanya biashara ambayo wateja wako watakuwa hao hao wanafunzi. Mi natoa idea zifuatazo kulingana na mtaji wako watakao kuja watatoa mawazo bora zaidi:
1. Watoto wa kike wa chuo wanapenda kuwa na cover za simu zaidi ya moja ili kumatch na nguo au kubadili style tu, unaweza kununua cover na earphone ukawa unawatangazia wenzio. Wakijua kuwa room kwako una cover nzuri watakuwa wanakuja kwako
2. Nunua handbags nzuri Kariakoo kama tano hivi, kila hand bag ikikupa faida ya elfu kumi (minimum) utakuwa na faida ya elfu hamsini hivyo mtaji utaendelea kukua. The more you sell, the more you will make profit. Baadae unaweza kuchanganya hand bags na viatu
3. Kipindi chuo kikiwa kinafungua unaenda Karume kununua mashuka ya mtumba unauzia wanafunzi wenzio (Hii inakuwa biashara ya msimu, inakuwa ina support biashara nyingine utakayokuwa unaifanya)
4. Mtaji wako ukija kukua huko baadae hamia kwenye biashara ya simu huku wateja wako walengwa wakiwa wale wale wanafunzi. Mpaka unamaliza degree utakuwa na mtaji mkubwa kidogo kufanya biashara kubwa zaidi
NB: Tangaza pia kwenye socia media, zinasaidia sana
- Ikifika mwakani tuombe uzima, mi maskini mwenzio lakini nitakutafuta nikuchangie laki nyingine ya mtaji endapo nikiona kweli ulianza biashara.
Kila la kheri dogo lasi