Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nimeandika andiko kwa ajili ya kutafuta hela za ujenzi wa chuo kikuu matata, ambacho kitakuwa kinafundisha mambo ya biashara kuanzia ngazi ya cheti mpaka PhD.
Katika andiko hilo, nimependekeza walimu wawe wale wote waliojiajiri na kufanikiwa katika biashara zao au viwanda vyao, wakiwemo wafanyabiashara wakubwa, mama ntilie, wauza mboga mboga, wauza mifugo, wauza mazao, wenye viwanda, wenye maduka makubwa n.k
Nikiamini, wao wataweza kuwafundisha kiuhalisia ni nini maana ya biashara, na jamii ifanye nini ili waweze nao kufanikiwa.
Naamini, wote watakaohitimu kwenye chuo changu, watakuwa wafanyabiashara wakubwa huko duniani, tofauti na sasa ambapo mtu anakuwa na PhD ya ujasiriamali, lakini bado ameajiriwa.
Kwa hilo wazo langu wakuu, wahisani watanipatia pesa za kuanzisha hicho chuo?