KINGNCHUM New Member Joined Jan 12, 2024 Posts 1 Reaction score 3 Jan 12, 2024 #1 Tupeane uzoefu jinsi ya kufungua biashara ya duka la alminium na vioo, mtaji kiasi gani unahitajika, changamoto zake na ni vitu gani vya kuanza navyo.
Tupeane uzoefu jinsi ya kufungua biashara ya duka la alminium na vioo, mtaji kiasi gani unahitajika, changamoto zake na ni vitu gani vya kuanza navyo.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Jan 21, 2024 #2 Wajuvi wa hii bidhaa njoo please mfunguke.