Tafuta Site zile ambazi kuna ujenzi mpya.
Bomba
[emoji736]Ips pipe OG na viungo vyake kuanzia 0.5" hadi 2" Eg. T, Elbow, Nipple, Top plug
[emoji736]PVC pipe 4" na viungo vyake
[emoji736]PVC pipe 1.5" na 2" na viungo vyake na vitu kama Tangit na Seal tape
[emoji736] Gate valve ( Kama size za IPS)
[emoji736]P trap na G trap ( Size ya PVC pipe)
Umeme
[emoji736]Heavy gauge Conduit pipe 20mm na Viungo vyake kama Ciuppler/ through socket, JB, Elbow nk.
[emoji736]Metal squire box Single na double
[emoji736]Distibuition board AKA Main switch kuanzia njia 4 hadi 12 ( Tronic / havels)
Hivyo vitu nilivyovitaja vinatumika kwenye stage ya kwanza baada ya nyumba kukamilika au kabla haijapigwa lip/ plaster
Sasa baada ya hapo kuna vitu vingi sana siwezi vitaja hata milioni vinatika. na mara nyingi wateja wanapenda kuvifuata mijini kwenye bei poa.