great dream
Member
- May 15, 2024
- 8
- 14
Utangulizi
Vyeti vya kuzaliwa ni nyaraka muhimu zinazothibitisha hali ya kisheria ya kuzaliwa kwa mtu na zina umuhimu mkubwa katika maisha ya kila siku.Katika Tanzania mchakato wa kupata vyeti vya kuzaliwa umekuwa na changamoto nyingi ukiwa ni pamoja na ucheleweshaji,urasimu na upotevu wa nyaraka.Huduma ya vyeti vya kuzaliwa mtandaoni ina uwezo wa kuboresha hali hii.
Utendaji kazi wa huduma ya vyeti vya kuzaliwa mtandaoni.
1. Kujenga tovuti na program ya simu itakayo kuwa na sehemu ya kujiandikisha kuomba vyeti vya kuzaliwa na kufuatilia maombi.Tovuti na program hizi zitakuwa na
Fomu za maombi;fomu za maombi ya vyeti vya kuzaliwa ambayo wananchi wanaweza kujaza mtandaoni.
Sehemu ya kuweka nyaraka;mahala pa kupakia nyaraka za uthibitisho kama vile picha za vitambulisho vya wazazi na hati ya kuzaliwa.
Mfumo wa kulipa ada;njia za malipo mtandao kwa ada zinazohitajika kwa huduma.
Kuweka mfumo wa usalama wa taarifa; Teknolojia za usalama kama vile usimbaji wa taarifa ,uthibitishaji wa mara mbili na ukaguzi wa mifumo ya usalama utahakikisha usalama wa taarifa za kibinafsi za wananchi.

Upvote
2