Jamani, nataka kuanzisha kajikampuni kadogo ka VIDEO PRODUCTION. Itakuwa inadeal na kushoot video katika functions mbalimbali na pia ku-design graphics (business cards, logos, flyers, brochure, business cards etc). Nahitaji jinsi ya kuandika Business Plan. Naomba msaada.