Kuanzisha kampuni ya video production

Kuanzisha kampuni ya video production

Mais

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
56
Reaction score
12
Naomba mawazo na ushauri juu ya vifaa gani muhimu vya kuwa navyo kwa kuanzisha video production company? Vifaa kama editing computers, software etc. Na naweza kuvipata wapi?
 
Wazo zuri na bongo hayo mambo ya nalipa ni pm nitakupa maelezo mazuri na watu wakufanya nao kazi siunajua hapa JF kila mtu fake
 
samahani naweza pata mawasiliano yako ya simu tuwasiliane angalau nijue kuhusu video production
 
Wazo zuri na bongo hayo mambo ya nalipa ni pm nitakupa maelezo mazuri na watu wakufanya nao kazi siunajua hapa JF kila mtu fake

So inamaanisha na wewe ni fake, maana na wewe upo hapa JF??? Ama wewe sio mtu???
 
Wazo zuri na bongo hayo mambo ya nalipa ni pm nitakupa maelezo mazuri na watu wakufanya nao kazi siunajua hapa JF kila mtu fake

Mkuu u-fake wa watu utaathiri nini ukieleza bayana hapa kwa jukwaa?
pia ku generalize kuwa watu humu ni fake ni matusi makubwa mkuu
upendo_20 tuombe radhi tafadhari!
 
Naomba mawazo na ushauri juu ya vifaa gani muhimu vya kuwa navyo kwa kuanzisha video production company? Vifaa kama editing computers, software etc. Na naweza kuvipata wapi?

Ukishatambua hivyo vifaa ni nani atakayefanya kazi hiyo ya uzalishaji, uhariri n.k?

Ni vyema ungem-consult huyo utayempa kazi maana kujua tu vifaa hakukamilishi kazi kwa beginner...
 
Naomba mawazo na ushauri juu ya vifaa gani muhimu vya kuwa navyo kwa kuanzisha video production company? Vifaa kama editing computers, software etc. Na naweza kuvipata wapi?

Vifaa inategemea na mtaji ulio nao. Mfano Camera zipo za bei tofauti zenye ubora tofauti. Kwa ujumla utahitaji
  • Video camera
  • Taa
  • Tripods, supports, and rigs
  • Boom mic
  • drives & storage
  • Monitors & displays
  • Software eg Final cut, pinnacle, photoshop, in-design,
  • Printer,
  • Scanner
  • DVD duplicator
  • Live sound
  • Headphones
  • Microphones
  • etc
 
Back
Top Bottom