YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
Sasa hawa Jamaa wa TRA wanaingia wakati gani?kama unamaanisha kampuni, kwanza unapanga kampuni inatakiwa ijishughilishe na nini. Unaandaa vile vinavyohotajika kwa kazi hiyo ikiwamo ofisi. Unaweza kwenda ofisi za Brela na kuandika barua kuulizia jina unalotka kutumia (name search) au kutumia web yao kuona kama jina la kampuni unayotaka kufungua halijatumika bado na kampuni nyingine.
Kwa kusaidiana na mwanasheria unaandaa company memorandum na article of association kwa mujibu wa sheria (companies act 2002) then unapeleka Brela. Mengine utaelekezwa huko Brela.
Nitaeleza hatua:
NB. Naamini siko sahihi 100% kwa maelezo niliyoyatoa lakini nadhani ni around 98% accurate. Ni vizuri piaukawa unauliza katika ofisi unazopita ili wakueleze hatua baada ya hapo ulipo.
- Unaenda BRELA (Jengo la Ushirika Mnazi mmoja floor ya 4). Hapo utapewa form ya kujaza kutegemeana na Unachotoka kusajili, aidha Business Name (kijikampuni cha mtu mmoja - sole propriator) au kampuni ya watu zaidi ya mmoja yaani Limited Company. Usajili wa Business Name (kuna confusion kuita kampuni, anyway tuite kijikampuni cha mtu mmoja) ni sh. 6,000/= (Elfu sita). Kusajili kampuni Kubwa Ltd NADHANI ni aidha 150,000/= au 250,000/=, cheki BRELA-Home for more info. Kwa kampuni ambayo si ya mtu mmoja basi ni lazima upeleke BRELA Maelezo yaitwayo Articles of Association (Ni aina ya mkataba/katiba utakaoonesha Wanahisa ni akina nani na kila mmoja anamiliki hisa ngapi, actually unaweza kuandika mwenyewe maana Articles of Association zimetapakaa hivyo itakuwa ni suala la kuedit tu na kuweka details zako kisha unaenda kwa mwanasheria akugongee mihuri kuliko mwanasheria kukuandikia Articles of Association ambapo utalipa pesa nyingi). Ukiishajaza form husika utaelekezwa kwenda floor ya pili jengo hilo hilo ili ulipie form hizo. Ukishalipia Cashier atakwambia siku ya kurudi floor ya nne ili ujue kama jina limekubalika, kama halijakubalika utaambiwa ubadilishe, ila wakati wa kujaza forms za kusearch majina ni vizuri ukataja at-least matatu ili kuwe na option. Kwa kawaida process za BRELA ni kama wiki moja. Kama usajili umepitishwa utapewa CERTIFICATES za kuthibitisha usajili (photocopy ya hizi watu huziweka kwenye ofisi zao ili TRA wakija wasikusumbue kuwa hujasajili). Hapo kinachofuatia ni TRA.
- Pembeni ya jengo la Ushirika kuna Access Bank. Ukiingiia hapo Access Bank kuna ngazi panada hadi floor ya kwanza utakuta afisa amekaa hapo nje kwenye dawati. Mwombe form ya TIN namba, anaweza asikupe akakwambia nenda Tawi fulani la TRA baada ya kukuuliza iliko ofisi yako. Lakini anaweza akakupa pia maana form ni bure tu. Ila kama akikupa muulize ukishajaza upeleke tawi lipi la TRA. Utapewa forms 2 hapo TRA. Moja ni kwa ajili ya Ofisi ya Serikali za mitaa kujaza (itahitaji passport moja) ya pili ni taarifa a kampuni unayofungua. Ukirudisha form TRA watataka forms walizokupa pamoja na photocopy ya mkataba wa pango la ofisi ikiwa umepangisha ili wakate kodi (ni ndogo sana, nadhani ni 1% ya pesa uliyolipa). Pia naaamini watahitaji copy moja moja ya Certificates ulizopewa BRELA. Ukiwa TRA utapewa mtu wa kukusaili ili ajue makisio ya mapato ya biashara utayofungua ili ufanyiwe makisio ya kodi utayolipa. Hili likiisha utapewa TIN number. Mchakato wa TRA ni wa siku moja kwa kawaida kama hautaenda hujakamilisha vitu. TIN number huwa ni bure nijuavyo. NB. katika form za TRA kuna sehemu za kujaza taarifa chache za Benki. Ni vizuri ukitoka BRELA ufungue akaunti ya benki kwa msaada wa form za BRELA au unaweza kutumia akaunti binafsi ambayo tayari unayo, haina shida hapa. Baada ya TRA ni Leseni ya Biashara.
- Leseni ya Biashara itahitajji uwe na TIN number, na Certificates za BRELA. Leseni hutoleewa katika ofisi zilizoteuliwa na Manispaa inakopatikana ofisi yako. Kwa Ilala unakwenda Arnaotouglu mnazi mmoja. Hapo utapewa form za kujaza ambazo baadhi zitaenda kwa afisa mipango miji wa Manispaa au jiji kama sijakosea na zingine utapeleka Makao makuu serikali za mitaa kwa bwana afya, utaelezwa vizuri hapo kwenye leseni. Kuna pesa fulani utalipia hapo kabla ya kupewa forms, sikumbuki lakini ni chini ya elfu kumi, nadhani ni kati ya elfu mbili hadi tano. Kwa habari ya Arnaotoglu huwa pana vimizengwe vidogo. Utaullizwa vimaswali-maswali. Huenda ukaambiwa "Utachelewa kupata leseni kama ..................takrima. Kuna baadhi ya vitu tunaweza kukusaidia kama mambo ya afisa mipango miji ikiwa utachangia.............." Ah, nchi yenu hii, wanaomba vi buku mbili mbili. Ni haki yako kupata Leseni bila kutoa rushwa by the way. Ukikamilisha leseni kinachofuatia ni kufanya biashara, kuvuta wateja, kulipa kodi na kuwa raia mwema. ALL THE BEST.
Nawasilisha.

Jamani naomba kujuzwa process, kutoka sifuri mpaka kuanzisha kampuni. Nahitaji kujua legal processes na recommendation zenu. najua tu lazima upitie sehemu kama Brela/TRA et al lakini sijui Full process.
Ahsanteni saana! :bowl:
Usiseme kijikampuni, kumbuka mbuyu ulianza kama mchicha. Sema tena Kampuni, rudia tena, nataka kufungua Kampuni yangu, sema tena nataka kufungua kampuni yangu nijiajiri mwenyewe.Teheeeeeeeeeeee
Mkuu 3D Nimependezwa sana na Maelezo yako ila nataka nkuulize Swali Moja tu, kwamba mimi Brela nimesajili kampuni ambayo itakuwa itatoa services mbali mbali ila katika kuanza Biashara yangu nataka nianze na baadhi tu ya Service na nataka nifanye Biashara kwa kutumia jina ambalo linarfelect Service ambayo nataka kuanza nayo mfano, Kampuni yangu inaitwa X na itashughulika na mambo 1,2,3 nk lakini kwa kuanzia na kutokana na Mtaji nilio nao nataka kutoa huduma 1 kwa mfano je naweza kutumia jina lingine katika biashara ambalo ni tofauti na lilisajiliwa na Brela? Mfano ni kampuni ya IPP ambayo ina Radio one, ITV etc au MIC (T) ambapo wao wanatumia tiGO
Asante sana
ahsante!! that is thinking big psychology
Jamani naomba kujuzwa process, kutoka sifuri mpaka kuanzisha kampuni. Nahitaji kujua legal processes na recommendation zenu. najua tu lazima upitie sehemu kama Brela/TRA et al lakini sijui Full process.
Ahsanteni saana! :bowl:
Wasiliana na vijana fulani wana Kampuni yao inaitwa Business Services & Consultancy Ltd., wapo pale Business Millenium Park, Office Namba 7, Morogoro Rd. kona na Shekilango. Mimi nilikuwa nataka kulibadili shamba langu toka binafsi kuwa kampuni, nikajulishwa na hao vijana, kweli nimefurahishwa na service yao, watakufanyia shughuli yako, zako, zote zinazohusiana na mambo ya biashara kwa bei nafuu kabisa. Namba zao ni +255767277422