Kuanzisha kiwanda cha ngozi kanda ya ziwa kina tija?

MABANDA

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2016
Posts
256
Reaction score
102
Ninaomba mawazo yenu kwa masuali yafuatayo . 1. Je mkoa gani kanda ya ziwa mzuli wa kuanzisha kiwanda cha ngozi za mifugo? 2. Je kama nikianzisha soko la malighafi zitokanazo na mifugo likoje kanda ya ziwa? 3. Je kuna taasisi za fedha zinasurpoti mambo ya viwanda vya ngozi? 4.Je watalaamu wa ngozi watanzania wapo?. 5.Demand ya soko likoje kwenye masuala ya ngozi zitokanazo na mifugo? , Wanajamii naombeni mawazo yenu kama kuna wazoefu wa line hii.
 
ungefanya hiho biashara mwanza itakulipa zaidi
 
The only way ya kupata pesa mingi nikutafutia soko ulaya au america, so ukipata mbia kwenye nchi hizo ambaye atakusaidia kuuza bidhaa zako utafaidika zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…