Tanzania imekuwa moja ya nchi ambazo zinatafunwa na watu baadhi ambao wanachukua pesa za umma kwa matumizi yao binafsi kwa mujibu wa CAG kila wizara imepatkana na baadhi ya watu wabadhilifu kwa pesa za miradi.
Hivyo basi kwa kuanzisha mfumo wa akili mnemba (AI system) ambayo itaorodhesha matumizi ya pesa za kila miradi kama zimetumika kwa usahihi.
Mfano, pesa ya mradi fulani wa barabara ikitolewa benki lazima matumizi yake yote yaainishwe na uambatinisho wa evidence kusapoti kama pesa imetumika kwa manufaa ya nchi.
Kama pesa imechukuliwa kwa ajili ya kununua vifaa, basi risiti zote ziwepo na pia zikaguliwe authenticity yake.
Pia wawepo baadhi ya watu watakao kuwa wanasimamia huo mfumo.
Kwa kufanya hivi basi itapunguza matumizi mabaya ya mali ya nchi

Upvote
2