😀😀 Mkuu, najua na wewe utakula hasa ukija kuweka mkeka kwangu pindi nikikamilisha hii. Ahsante sana mkuu. Maana ninahisi mlolongo mrefu, usajili, kibali, zile mashine za kufyatua mikeka, na mashine za kufyatua lists za mechi mbalimbali.Mkuu naona unataka kuwa wakala wa kutumalizia hata tulichobaki nacho.