Kuanzisha school labaratory

Kuanzisha school labaratory

Shebby Pallah

Member
Joined
May 1, 2017
Posts
29
Reaction score
17
Tafadhali naomba mnifahamishe jinsi ya kufungua school labaratory. Hii ni kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma sayansi watakuwa wanakuja kufanya practical za masomo kwa gharama katika kituo changu. Maoni na ushauri tafadhali.
 
Back
Top Bottom