Kuanzishwa kwa tuzo EATV ndo kuua kabisa mziki wa hiphop?

Kuanzishwa kwa tuzo EATV ndo kuua kabisa mziki wa hiphop?

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
baada ya kuzinduliwa kwa tuzo za eatv kuna category kumi ambazo sizani kama kuna msanii wa hiphop anaweza akashindana na msanii yeyote wa kuimba hiphop ya bongo kwa sasa inakoelekea ni kupotea
wale wa sanii tuliokua tukiwaona wakichukua tuzo kubwa kama joh makin,fid q,roma
wapenzi wa mziki wa hiphop bongo wasitegemee msanii yeyote wa hiphop anaweza shindana na wakuimba katika tuzo hizo
 
Back
Top Bottom