Shaycas
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 906
- 112
Wakubwa naombeni msaada.
Nimekuwa nasikia harambee ktk mikoa mbalimbali za kuchangia mifuko ya Elimu za Mikoa au Wilaya hizo.Je ni nani kiongozi wa mifuko hiyo na mwanzo wake unaanza vipi.
Je inawezekana mtu binafsi kuanzisha mifuko hii kwa jamii ndogo kuanzia ngazi ya familia? Kama jibu ni ndio ina kuaje?
NAAMINI KATIKA MICHANGO YENU YA MAWAZO NA KATIKA HILI KWA PAMOJA MNAWEZA KUNISAIDI.
Ahsanteni sana kwa mchango wenu wa mawazo