Kuapdate heslb ngoma nzito

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Wakuu tangu tarehe 23 wale tunaoendelea kuomba mkopo kwa mwaka ujao inahitaj paswd.

Sasa hyo paswd ndo ngoma nzito.katika recovery ya paswd ndo usiseme.ambaye ameweza atwambie.
 
We yan una update acount? Mbona udsm hamna tena ku update acount ina mana sio vyote kumbe
 
Wakuu tangu tarehe 23 wale tunaoendelea kuomba mkopo kwa mwaka ujao inahitaj paswd.sasa hyo paswd ndo ngoma nzito.katika recovery ya paswd ndo usiseme.ambaye ameweza atwambie

ngoja na mimi nijaribu ku-update....ntakupa feedback
 
Me hii kitu ilisababisha nikose mkopo nlipokuwa final year chuoni so take it serious mkuu
 
Saivi system imeadilika jamani hakuna haja ya kuupdate mkopo sababu matokeo yako yatatumwa moja kwa moja kwenye bodi ya mkopo hivyo unachotakiwa ni kuwajulisha bodi kama huhitaji kuendelea kupata mkopo
SOURCE HESLB criteria 2014/2015
 
yeah huku kwetu loan officer anatumia kila njia kuwajulisha wat kwamb kwa sasa hakuna ku update tena, bodi itaendlea kutoa mkop kwa wat wake kam kawaida. Kwa ambao hawataki ndo wanatakiwa kutoa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…