Kuapishwa wabunge leo mtikila itakuwaje?

Kuapishwa wabunge leo mtikila itakuwaje?

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,414
Reaction score
199
Jamani kama kuna aliyeshuhudia uapaji wa mtikila kutokana na msimamo wake kwa kuitetea Tanganyika je atatamka maneno 'mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania??
 
hivi mtikila hakuwepo enzi za nyerere?

kwanini hakuitetea Tanganyika toka enzi zile?

kaona nini enzi hizi za kikwete?
 
Tangu vyama vingi kuruhusiwa hapa nchini, na Tangu mimi nimemjua Mtikila enzi hizo za miaka ya mwanzoni mwa tisini, Tanganyika ndio umekuwa wimbo wake ! Kwa hiyo hajaanza enzi za Kikwete peke yake !. Alianza enzi za Mwinyi, akaendelea enzi za Mkapa na anaendelea enzi za Kikwete !

hivi mtikila hakuwepo enzi za nyerere?

kwanini hakuitetea Tanganyika toka enzi zile?

kaona nini enzi hizi za kikwete?
 
hivi mtikila hakuwepo enzi za nyerere?

kwanini hakuitetea Tanganyika toka enzi zile?

kaona nini enzi hizi za kikwete?

Alianza zamani, rejea:

THE CASE OF THE REVEREND CHRISTOPHER MTIKILA
Another extreme element in the political-religious situation in Tanzania is the Rev. Christopher Mtikila, head of the ‘Full Salvation Church' and Chairman of the as yet unrecognised Democratic Party who is openly advocating the break-up of the Union. He has vowed not even to seek the 400 sponsors from Zanzibar needed if his party is to be registered.

After a speech in Dar es Salaam in January, a group of his supporters apparently caused a breach of the peace and paramilitary forces had to be brought in to keep order.
Mtikila was subsequently arrested and charged with unlawful assembly, breach of the peace and uS1ng abusive language against CCM leaders and the Government (on January 28th in Dar es Salaam). It was alleged in Court that his speech had stirred his followers into rioting and attacking people of Asian origin; many people were injured and some lost property. During the first stage of the court case Asian shopkeeper Almoonir Jiwa (22) said that he had had to have six stitches on his face after being attacked. A Police Officer told the packed courtroom that Mtikila had told the rally that President Mwinyi was a thief, Tanganyika had been sold to the Arabs and Indians, that its wealth was under the control of 161 people he termed '---------s' and that it was time to dismantle the Union and declare the liberation of Tanganyika. The case against the Rev Mtikila was subsequently dismissed apparently on the grounds (amongst others) that stating that President Mwinyi and Mama Sitti were thieves was merely a figure of speech meant to attract political sympathy. The verdict seems to have raised eyebrows in legal circles in Dar es Salaam.
CHANZO: Tanzanian Affairs » Issue 45
 
asanteni sana ndugu Udadisi na jebibay...

sasa ndugu mtikila toka aanze mbio zake za kudai uhuru wa Tanganyika, mbona sioni movement yake ikiwa na nguvu?

kwanini hapati support kubwa kama ipatayo chama cha CDM? kuna weakness yoyote katika matakwa yake hayo?
 
Last edited by a moderator:
Mtikila atasema Tanganyika badala ya jamhuri ya muungano wa tz
 
asanteni sana ndugu Udadisi na jebibay...

sasa ndugu mtikila toka aanze mbio zake za kudai uhuru wa Tanganyika, mbona sioni movement yake ikiwa na nguvu?

kwanini hapati support kubwa kama ipatayo chama cha CDM? kuna weakness yoyote katika matakwa yake hayo?

Ilikuwa na nguvu hoja ilipotekwa na G55 miaka ya 90, sasa inaanza kuwa na nguvu tena kutokana na uwiano tete wa Bunge Maalum la Katiba na rasimu tata ya Tume ya Katiba!
 
Yeye yupo kwenye extreme. Yeye hata huu Muungano hautaki, na mara nyingi kwa mujibu wangu mimi amekuwa ni mtu ambaye anapenda yeye mwenyewe ndio apate sifa !

Nakumbuka mwaka 1995 baada ya Mrema kupata umaarufu na kuanza kumfunika alianza kumshambulia ingawa alikuwa mpinzani mwenzake...amekuwa hata akiwashambulia CDM ! Yaani anajiona yeye pekee ndio mpinzani wa kweli..

Hata hivyo sasa hivi, kama ambavyo unajua kuna support kubwa sana kwa serikali ya Tanganyika na watanzania wengi wanaitaka hii serikali (mimi nikiwa mmojawao).

asanteni sana ndugu Udadisi na jebibay...

sasa ndugu mtikila toka aanze mbio zake za kudai uhuru wa Tanganyika, mbona sioni movement yake ikiwa na nguvu?

kwanini hapati support kubwa kama ipatayo chama cha CDM? kuna weakness yoyote katika matakwa yake hayo?
 
hivi mtikila hakuwepo enzi za nyerere?

kwanini hakuitetea Tanganyika toka enzi zile?

kaona nini enzi hizi za kikwete?

Nyerere alikuwa hana utani so angefanywa mbuzi wa shughuli.
 
Kuna mzee mmoja katika kijiji kimoja cha kanda ya ziwa mpaka leo hajaoa
anatamani na ana imani kuwa siku moja tamuoa malkia wa uingereza. Hayo ndiyo ya mtikila !
 
Jamani kama kuna aliyeshuhudia uapaji wa mtikila kutokana na msimamo wake kwa kuitetea Tanganyika je atatamka maneno 'mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania??

Leo comrade ameitambua Jamuhuri tena na kuapa katika jina la Yesu.
 
jamani namuona Mtikila hana raha kabisa,isije ikawa anataka kwenda mahakamani kusimamisha mchakato
 
Ukitaka kumjuwa mtikila ngoja waanze kujadili muundo wa serekali ni kakorofi sana
 
hivi mtikila hakuwepo enzi za nyerere?

kwanini hakuitetea Tanganyika toka enzi zile?

kaona nini enzi hizi za kikwete?

Mtikila ameanza zamani kuidai Tanganyika na amesaidia sana mambo mengi. Zamani watanzania bara walikuwa wakitaka kwenda Zanzibar walitakiwa wawe na hati ya kusafiria. Na hii toka enzi za Nyerere. Mtikila akalalamika, kipindi cha Mwinyi ikaondolewa. Tangu bunge likifanya vikao vyake Karimjee, mtikila aliwahi kumatwa akigawa bendera ya Tanganyika nje ya ukumbi wa bunge.

Mtikila chama chake kilinyimwa usajiri wa kudumu na msajili wa wavyama vya siasa George Liundi (RIP) kwa kukataa kuwa na wanachama Zanzibar. Nakumbuka Mtikila aliwahi join CHADEMA na kugombea ubunge nadhani Ludewa. Pia amewahi wajoin CUF wakati wa mauaji Pemba. Yote hiyo ilitokana na DP kukosa usajiri wa kudumu.
 
Back
Top Bottom