Kuba watu wabishi balaa cheki hii..

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
367
Reaction score
496
Yaaani kuna watu wabishi duniani..
Kana kwamba wako watu hata akiambiwa mto huu una mamba tusivuke mtu anajiandaa na nguo zake za kuogelea anavuka..
IMAGINE
Leo ifikapo saa sita usiku simu zote feki zitazimwa lakini kuna lijamaa hapa naona amenunua kifurushi cha wiki kabisaa..
IMAGINE
mtu amenunua kava mpya ya simu yake
IMAGINE
endelea...
 
IMAGINE mtu inafika saa 23:59 anaingia kwenye menu ya nipige tafu.
 
Imagine inafika saa 23:59 anajiunga kifurushi cha internet usiku, ambacho ni valid saa 00:00 hadi 06:00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…