Kubadi engine kwenye Nissan Navara kuweka engine ya Toyota Hilux

Kubadi engine kwenye Nissan Navara kuweka engine ya Toyota Hilux

Theodor herzl

Member
Joined
Nov 10, 2021
Posts
95
Reaction score
225
Salute kwenu wataalam wa magari, mzee wangu anataka kubadili engine ya Nissan Navara zile za Singapore anataka kuweka engine ya diesel au petrol zile zinazotumika kwenye toyota hilux double cabin, gari ni la 2007 na lishakula km 198,000/: lishaanza kusumbua. Ushauri wenu unahitajika.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Salute kwenu wataalam wa magari, Mzee wangu anataka kubadili engn ya nissan Navara zile za singapore ataka kuweka engine ya diesel au petrol zile zinazotumika kwenye toyota hilux double cabin , gari ni la 2007 na lishakula km 198,000/: lishaanza kusumbua Ushauri wenu unahotajika.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app

Kama hiyo engine haikuwa pasua kichwa ni bora ufunge hiyo hiyo ya navara au ya hardbody na uipe matunzo mazuri. Modifications zina kadhia zake, its not always smooth
 
Salute kwenu wataalam wa magari, Mzee wangu anataka kubadili engn ya nissan Navara zile za singapore ataka kuweka engine ya diesel au petrol zile zinazotumika kwenye toyota hilux double cabin , gari ni la 2007 na lishakula km 198,000/: lishaanza kusumbua Ushauri wenu unahotajika.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Mkuu ningekushauri weka specifications za engine inayotaka kutolewa na inayotaka kuwekwa kitaalam, ili wajuzi wa engine waweze kukushauri kwa upana zaidi, gari inaweza kuwa aina moja, lakini engine model tofauti.
 
Salute kwenu wataalam wa magari, Mzee wangu anataka kubadili engine ya Nissan Navara zile za singapore ataka kuweka engine ya diesel au petrol zile zinazotumika kwenye toyota hilux double cabin, gari ni la 2007 na lishakula km 198,000/: lishaanza kusumbua Ushauri wenu unahitajika.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Inawezekana.. nimefanya kitu kama hicho, nimetoa engine kutoka kwenye Nissan hardbody d72 nikaweka engine ya toyota 3s na gari iko njema sana.. nimeshasafiri nayo kabisa
 
inawezekana.. nimefanya kitu kama hicho, nimetoa engine kutoka kwenye nissan hardbody d72 nikaweka engine ya toyota 3s na gari iko njema sana.. nimeshasafiri nayo kabisa
Ya kwako umedumu nayo miaka mi ngapi? Na fundi amekufanyia sh.ngapi gharama ya engine ya 3s pamoja na ufundi?

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Ya kwako umedumu nayo miaka mi ngapi? Na fundi amekufanyi sh.ngapi garama ya engine ya 3s pamoja na u fundi?

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Huu mwaka wa pili, Jambo la msingi sana sana.. nasisitiza sana ni uwe unafahamu nini kinachofanyika.. mimi nilifanyia hii project home nikiwa najua kila kitu hatua kwa hatua.. gharama zote za ufundi hazikuzidi laki 8, ofcourse vingine nilikua nafanya mwenyewe.

Engine ya 3s pale Ilala ni 2.1mil nunua complete na harness yake, Gearbox ni laki 4, control box laki na 20, sasa kwa urahisi tafuta 3s ambayo ni RWD, n.k very interesting project.. ukitaka picha nitakuonesha
 
inawezekana.. nimefanya kitu kama hicho, nimetoa engine kutoka kwenye nissan hardbody d72 nikaweka engine ya toyota 3s na gari iko njema sana.. nimeshasafiri nayo kabisa
Asee poa nampango wa kutoa engine ya Navara kuweka Toyota so Nimepata pa kuanzia
 
Mbona engine yake hiyo original 2.5 yd25 ni nzuri haina shida ukifuatisha masharti yake, haitaki diesel chafu, oil uweke original sanasana castrol 5w30 turbo pia ukiwasha asubuhi usiondoke muda huo huo walau gari ikae idle dk5 vilevile ukitembea sana ukupaki usizime haraka.. Ukiona tatizo usipeleke kwa mafundi wasiowataalam nenda kwenye mashine pima tatz then inatatuliwa kwa urahisi
 
Kuhusu turbo, nadhani ni gari zote zenye turbo zinataka ufanye hivyo, kabla ya kuondoka na kabla ya kuzima gari, ila dk 5 ni nyingi!
 
Back
Top Bottom