Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheti cha ndoa kinatolewa na serikali bila kujali ndo imefungwa kanisani, msikiti au bomani... Hivyo kwa mtazamo wangu mtu huyo bado anahesabiwa kuwa ana ndoa.Wanajf habari zenu? Hope mko poa. Naomba kujuzwa juu ya hili,kama mtu alikua mkristo,akafunga ndoa ya kanisani baadae akabadili dini na kua muislam..je,ile ndoa yake ya kikristo bado inakua hai?Sheria inasema nini juu ya hili?
Naomba michango yenu.
Cheti cha ndoa kinatolewa na serikali bila kujali ndo imefungwa kanisani, msikiti au bomani... Hivyo kwa mtazamo wangu mtu huyo bado anahesabiwa kuwa ana ndoa.
Kwa RC, hiyo ndoa inatambulika na ndiyo maana hataruhusiwa kufunga ndoa nyingine kanisa lolote hadi hapo mwenza atakapoaga dunia
Cheti cha ndoa huwa kinasema idadi ya wake... Lakini kama alifunga ile ya kwanza ki-RC, basi ilikuwa ndoa ya mke mmoja, na jamaa kama akaoa mwingine kiislamu, na akapewa cheti kingine wakati cha kwanza kiliandikwa mke mmoja MKE WA KWANZA ANAWEZA AKAMSHITAJI (ni mtazamo wangu)Nashukuru mkuu kwa mchango wako. Jamaa amebadili dini kua muislam na akaoa kwa kiislam,sijui inakuaje hapo kuhusu ndoa yake mpya na hiyo ya zamani.