Ndo hivyo, frustrating. Nitaufanyia kazi ushauriDuh! 2.5l/km?
Hebu chungulia chini kwanza TANK lisije kua na LIKEJI
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Duh! 2.5l/km?
Hebu chungulia chini kwanza TANK lisije kua na LIKEJI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kufanya chochote kile nenda kwenye garage ukafanya diagnostic test ya engine ya gari lako.Habari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Mtaalamu anaitwa lege,inaonyesha ameiva .mtafute private atakusaidia.Habari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Mkuu 2.5l/km hiyo gari inabidi ikaguliwe mfumo mzima wa engine kwa kompyuta na fundi mzoefu.
Mtafute humu kuna mdau anaitwa LEGE atakusaidia.
Ulaji wa mafuta ni zaidi ya roli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, namu-PMMtaalamu anaitwa lege,inaonyesha ameiva .mtafute private atakusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo engine 1MZ ni sahihi kwa hiyo gari, sema ulaji wa mafuta ndio unaokuzinguaAsante, namtafta fundi sahihi nicheck hili
Habari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Angalia nozzle mzee itakuwa zimekufsHabari zenu wakuu!

Huduma hii gharama yake ikoje?Mkuu 2.5l/km hiyo gari inabidi ikaguliwe mfumo mzima wa engine kwa kompyuta na fundi mzoefu.
Mtafute humu kuna mdau anaitwa LEGE atakusaidia.
Ulaji wa mafuta ni zaidi ya roli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuziwa gari bovu mzeee hata v8 haili hivyoHabari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Engine yako ni 1MZ?
Hiyo ni Engine kubwa ikiwa na cc2990(3000),lazima ikuchote mahela kwa mafuta. Anza kwanza kubadilisha plug,kanunue Original pale mlimani City. Moja huwa ni Tsh 30,000-40,000. Tatizo likizidi,kafanye diagnosis kwenye engine,ila anza na nozzle. Vikishindikana hivyo,kanunue engine ya 2AZ VVTi,ila bei nk Tsh angalau 2.5. Ila engine poa sana. Ila pia kuna 5S ambayo iko na cc ndogo ya 2az. Ubovu wake ni kuwa haina mifumo yaVVTi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina shida nyingine, huo sio ulaji wa hizo gari. Ungesema 5km to 7km kwa mjini ningeelewa. Bora urekebishe engine tu. Kubadilisha kutakufanya uwe mteja wa kudumu wa garage. Labda urudishie engine kama hiyo. Japo nayo upate mafundi wa ukweli. Sio wa ujanja ujanja wa kila gari kuita new modelHabari zenu wakuu!