Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Kubadili jina wapi Ndugu? Kuwa specificNataka badili jina,je ni hatua gan nifuate
Jina ninalotumia saizKubadili jina wapi Ndugu? Kuwa specific
Mda snUmejiunga lini JF?
Bila shaka unawafahamu waratibu wa humu ndani(Moderators)?Mda sn
Thanks madam,thanks muchBila shaka unawafahamu waratibu wa humu ndani(Moderators)?
Tafuta mmoja wapo mwandikie ujumbe wa kubadili jina, na jina utakalopenda kutumia baada ya hili....!