Kubadili leseni ya biashara

Kubadili leseni ya biashara

dadanga

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
63
Reaction score
47
Wanajukwaa naomba mnisaidie mfano kama leseni yangu ya biashara niliichukulia Dar na nataka niamishie biashara yangu Arusha ni hatua gan ambazo inabidi nifate na gharama zake inakuwaje
 
tumia leseni hiyo hiyo huko Arusha mpk itakapoisha muda wake ila utapaswa kupata barua ya uhamisho toka TRA mkoa ulipoichukulia ili akaunti yako ifungwe na faili lako jipya liweze kufunguliwa huko Arusha muda wa kuchukua leseni mpya utakapofika
 
kama biashara ni hiyo hiyo inabidi aandike barua apeleke TRA aliposajili mwanzo na awaambie anaenda sehemu gani iwe rahisi kumpa barua apeleke atakapoenda kuhamia,

pia unapohamia lazima ufate taratibu zile za mwanzo wakati wa usajili kama ulivyoanza huko arusha....local government to TRA.
 
Asante sana
 
Asante
 
Back
Top Bottom