Kubadili majina katika kitambulisho cha taifa

mbororo

Senior Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
103
Reaction score
88
Habari wakuu kuna ndugu yangu anashida ya kujua ni utaratibu gani unatumika kubadili au kufuta details za NIDA ili afungue na kuweka details zingine katika kitambulisho cha taifa.

Asanteni
 
Inaruhusiwa kubadili jina moja tu na si vinginevyo, au kubadili mpangilio wa majina yako mfano jina la kati liwe mwisho na kinyume chake
 
Inawezekana ila atalipia gharama sh 20 ,000 CRDB acount ya nida ...then utaenda mahakamani kuhapa , then andika. Barua uambatanishe nida na risit ya malipo ,kiapo cha mahakama kisha utapigiwa simu kwa ajili ya kwenda ... Kubadili taarifa ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa alama za vidole upya ...ukipata changamoto ni pm
 
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…