Kubadili majina (middle name na Surname)

Kubadili majina (middle name na Surname)

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
688
Wakuu nataka kubadili majina yangu ya kati na mwisho. Niko Tanzania. Naomba maelekezo ni hatua zipi za kisheria za kupitia ili nisije sumbuka huko mbeleni kama viongozi wa serikali yetu wanaotuhumiwa kuiba majina ya watu.
 
Nenda mahakamani ukaape na huko watakupa details zote unazozitaka!
 
Andaa document inaitwa deed poll ukielezea nia yako ya kubadili jina na utaisajili pale land registry.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kumbuka kuweka rekodi zako za elimu sawa unatakiwa kurudi shule upya.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kma walivyosema wadau nenda mahakamani ukahape ukiwa na shahidi au utawasikiliza nini cha kufuata la kamuona mwanasheria akupe muongozi
 
Back
Top Bottom