Kubadili Matumizi ya Ardhi

Kubadili Matumizi ya Ardhi

Bobby

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
2,182
Reaction score
1,896
Habari wanajamvi!

Sorry naomba msaada namna ya kubadili matumizi ya ardhi kutoka kwenye makazi kwenda kwenye biashara kwa surveyed area.

Ushauri wenu nitaomba ujikite kwenye haya:

1. Ni sheria gani inaguide hili? Ni land act au? Ikinukuliwa article husika itasaidia sana maana haya maact nayo ni makubwa sana.
2. Uhusika wa neighborhood kwenye hili ukoje? Naimagine mtu kajenga nyumba yake ya kuishi may be for the next 20 years akijua ni eneo la makzi then ghafla jirani anajenga night club. Kuna namna yeyote ya kumfidia huyu incase ni lazima hiyo nite club ijengwe?
3. Eneo lolote ambalo itasaidia mm na wengineo kuijua vzr hii process.

Natanguliza shukrani
 
Nilikuwa natafuta kitu kama hii leo baada ya kugoogle nikaikuta hii thread nikajua ntakutana na madini ya kutosha but supprisingly naona hakuna mdau aliyaeigusa.

wanajamvi vipi.!?? au mpaka tuweke thread za wema sepetu au Lugumi ndio tujitokeze kwa wingi, lakini hizi zenye kujenga na kutoa mafunzo tunakaa kimya....come on wana JF, Leteni vitu naamini wapo wengi wenye ufaham kuhusiana na haya masuala.
 
Muone mwanasheria wa conveyancing. Sheria husika na land act cap 113 na land forms zake. kuptia fomu hizo na chini ya sheria husika, mwanasheria huo ataandika application kwenda kwa commissioner for land for his consideration and approval.

Hata hivyo kubadili matumizi ni subject to the general master plan ya eneo. Sidhani kama commissioner anaweza kurudhia la makazi ya watu aruhusu ujenge nightclub, au jirani eneo la shule, au nyumba za ibada, ukajenge night club!
 
Back
Top Bottom