Habari wanajamvi!
Sorry naomba msaada namna ya kubadili matumizi ya ardhi kutoka kwenye makazi kwenda kwenye biashara kwa surveyed area.
Ushauri wenu nitaomba ujikite kwenye haya:
1. Ni sheria gani inaguide hili? Ni land act au? Ikinukuliwa article husika itasaidia sana maana haya maact nayo ni makubwa sana.
2. Uhusika wa neighborhood kwenye hili ukoje? Naimagine mtu kajenga nyumba yake ya kuishi may be for the next 20 years akijua ni eneo la makzi then ghafla jirani anajenga night club. Kuna namna yeyote ya kumfidia huyu incase ni lazima hiyo nite club ijengwe?
3. Eneo lolote ambalo itasaidia mm na wengineo kuijua vzr hii process.
Natanguliza shukrani