Kubadili plate number kutoka private kwenda commercial

Kubadili matumizi ni rahisi Sana Kama mradi tu halidaiwi mapato unaenda na elfu 20 ,kadi original na plate number zao nyeupe , Kama linadaiwa lazima ulipe.
Kubadili umiliki ndio Kuna mlolongo wa vitu ambavyo ni nida kadi ya muuzaji pamoja na pasport size photo yake,mkataba wa mauziano( tra siku hizi wanaweza kukataa Bei iliyowekwa kwenye mkataba),kadi original ya gari
 
Elfu 20 ni kadi ya pikipiki ya matairi mawili, kadi ya gari ni elfu 50.

Kubadili umiliki lazima mkataba uambatane na risiti ya efd ya mwanasheria aliyeshuhudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…